Before you leave...
Take 20% off your first order
20% off
Enter the code below at checkout to get 20% off your first order
Discover summer reading lists for all ages & interests!
Find Your Next Read
Mitego ya Kisasa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili. Hadithi hizi ni taswira ya hali halisi ya jamii ya kisasa. Antholojia hii imeandikwa kuafiki watu wa umri wowote kutokana na lugha tutumbi iliyotumika pamoja na usahili wa visa hadithini. Ni kazi maridhawa kwa wanafunzi wa sekodari, vyuo vikuu na wenye ari ilhamu ya kujifunza lugha ashirafu ya Kiswahili. Maudhui aina ainati yaneshughulikiwa . Baadhi yao ni; unafiki, wizi, dini, mapenzi na ndoa, ushirikina na mazingaombwe, uongozi mbaya, siasa, nafasi ya vijana na akina mama katika jamii n.k
Thanks for subscribing!
This email has been registered!
Take 20% off your first order
Enter the code below at checkout to get 20% off your first order